Hongera kwa kutembelea jukwaa adhimu. Hapa utajifunza kozi mbalimbali kwa uUjuzi & Vipajia, utawezeshwa kwa hamasa na ushauri-elekezi na kujengewa ujasiri wa kuchukua hatua ili kuongeza tija na ufanisi. Tunao ujasiri wa kusema “Karibu ujipatie kisichopatikana darasani” kwa sababu, hapa, utajifunza kwa urahisi, mifano halisi na mwongozo wa kitaalamu wa hatua kwa hatua. Hatupimi ufaulu kwa mitihani, bali kwa kutenda na kudhihirisha umahiri wako kama kielelezo cha kufikia malengo yako ya ujifunzaji.
Jisajili sasa Fahamu zaidi